Articles by "USHAURI"
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo USHAURI. Onyesha machapisho yote


Afya ya Akili yako ni muhimu sana kwa sababu inaweza kuathiri afya yako ya kimwili na ustawi wako wote. Ikumbukwe kuwa asilimia kubwa ya wagonjwa ambao wamelazwa hospital na ambao wapo majumbani  tatizo kubwa haswa huwa na tatizo la afya ya akili inayochangia watu kupatwa na magonjwa mbalimbali katika sehemu za miili yao.

Afya yako ya akili inahusiana na jinsi unavyojihisi na akili yako inavyofanya kazi. Afya yako ya akili ni muhimu sana kwa sababu inaweza kuathiri afya yako ya kimwili na ustawi wako wote.

Wakati mtu ana shida ya afya ya akili, inamaanisha ustawi wake wa akili hauko sawa kama vile mwili wako unapoumia. Kuna sababu nyingi ambazo watu hupata masuala ya afya ya akili. Wanaume wengine huzaliwa katika hatari kubwa zaidi na wengine wana hatari baada ya kukabiliana na mambo kama msongo wa mawazo au shida.

Wakati mwingine matatizo ya afya ya akili yanaweza kuwa madogo na kuisha kwa urahisi. Nyakati nyingine yanaweza kuwa mabaya na kufanya iwe vigumu kwa watu kufanya kazi kama kawaida.

Hebu jiulize, je! Upo salama?

Huwa ukiwa mwenyewe unawazaga nini, umezungukwa na watu wa aina gani na huwa mnazungumza Nini, maana mazungumzo mabaya huharibu tabia njema, na huwa unasikiliza vitu gani na huwa unasomaga vitu gani. Ukishamaliza kujiuliza jipime je, uko salama katika akili yako? Maana watu wengi sana wameharibikiwa kiakili kwa kuwa na makundi mabaya ya marafiki,kwa kusikiliza simulizi mbaya zisizo na mafundisho, kuona vitu vibaya Kama picha au video za  ngono, video za wavuta bangi na sigara, video za uhalifu, kuwafumania wapenzi wao, wazazi wao na kujiskia vibaya, ndugu zao, kuteswa na wanaokaa nao(Kama kusema vibaya, kudharauliwa n.k)

Kutokuwa na Afya ya akili kunachangia sana na wewe mwenyewe jinsi unavyojiona,unavyojichukulia n.k.Ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo,unavyojiwazia ndivyo utakavyokuwa.Jitahidi sana kuwaza yaliyo mema,yaliyo mazuri ili kusaidia akili yako isiathirike.

Karibu katika AFYA YA  AKILI, pia tunatoa ushauri kwa kila changamoto zozote zinazo kukabili

    Counselor Nicholaus & Jane .
    Kwa msaada na ushauri.
    Kwa msaada zaidi na ushauri. 
    Mawasiliano: 0766 – 635 382 / 0677 880 199
    Whatsap namba: 0755 556 661
    Email: pataufahamu@gmail.com


God is done for you.
Sehemu ya kwanza.
Ndugu yangu nipende kukurabisha katika mfululizo huu wa somo hili, hasa kwa vijana ambao bado hawajaoa na kuolewa.
Katika ulimwengu wa leo sana sana katika maisha siku za hivi karibuni, kumekuwa na kelele na maongezeko makubwa juu ya matatizo ya ndoa katika familia nyingi duniani, Utakubaliana na mimi kwamba kumekuwa na Idadi kubwa sana ya ndoa zinazofungwa katika sehemu mbalimbali katika nyumba za Ibada na hata zile zinazofungwa chini ya usimamizi wa serikali (Bomani) tofauti ni ilivyo fanyika zamani au kipindi cha miaka ya nyuma kidogo.
Kinacho nisikitisha Sana ni gharama kubwa ambazo zimekuwa zikitumika kuandaa sharehe kubwa za harusi ambazo zimekuwa zikigubikwa na huzuni /majuto/simanzi/ugomvi bayana ya wanandoa baada ya kufungwa.
Katika ndoa nyingi zinazo fungwa siku za leo imekuwa ni kama jambo la kawaida sana kusikia wanandoa wapya kabisa kutamka maeneo kama vile ‘‘Najuta kuoa kipindi hiki’’, Nimefanya haraka  au uamuzi mbaya kuingia katika ndoa kwa sasa,’’ ‘‘Siamini kabisa kama mwenzi wangu katoka kwa Mungu”, “yaani nimeoa au kuolewa na kituko”, ‘‘Sina jinsi na vumilia tu, najikaza tu lakini uzalendo umenishinda’’, ‘‘Sina raha kabisa’’,  ‘‘Ningeweza ningeolewa tena’’
Ndugu msomaji fuatilia kwa makini sana mfululizo huu, hakika utakusadia sana kama si wewe hata ndugu na jamaa wanaokuzunguka, lengo ni kuwa na familia bora ambazo hazina manung’uniko kila itwapo leo.
 
   -->Usijiunganishe na mtu asiye okoka. (Wala usimsaidie Mungu kazi/kuokoa)
Mwanzo 24:3 nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbinguni, na Mungu wa Nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakaani ambao nakaa kati yao.
kama kijana uliye okoka ni kosa kubwa kuoa au kuolewa na mtu asiye okoka, ukisoma andiko hilo katika Mwanzo, utaona jinsi gani Mungu alipiga marufuku kwa mwisrael kuoa au kuolewa na mkaanani, katika maisha yetu ya sasa Mtu yeyote akiokoa naye ni mwisrael na lile Agano linaendelea kwake, na mkaanani ni sawa na mtu asiye okoka.
1petro 2:9-10, Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu; ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.
Kwahiyo mkristo yeyote aliye okoka ni mwisrael. Kama kijana uliye okoka kuoa au kuolewa na mkaanani mtu asiye okoka ni kosa na haitakiwi.
Kuna madhara makubwa pale kijana aliye okoka anapokuwa ameolewa au kuoa na kijana asiye okoka.
1Wafalme 11:1-8, Mfalme sulemani akawapenda wanawake wengi waeni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabu, na wa waamoni, na wa waedomi, na  wa sidoni, na wa Wahiti, na wa mataifa BWANA aliyo waambia  wana wa Israeli, Msiingie kwao, wala wasiingie kwenu; kwa kuwa hakika wataigeuza mioyo yenu kuifuata miungu yao. Sulemani akaambatana nao kwa kuwapenda.Akawa na wake mia saba binti za kifalme,na Masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo. Maana ikawa, sulemani alipokuwa mzee, wake zake wakamgeuza moyo wake, afuate miungu mingine, wala moyo wake haukuwa mkamilifu kwa BWANA, Mungu wake, kama moyo wa Daudi baba yake. Kwa kuwa sulemani akamfuata Ashtorethi, mungu mke wa Wasidoni na Milkomu, chukizo la Waamoni. Sulemani akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, Wala hakumfuata BWANA kwa utimilifu, kama Daudi baba yake. Sulemani akamjengea kemoshi, chukizo la Wamoabi,mahali pajuu, katika mlima uliokabili Yerusalemu, na Moleki, chukizo la wana wa Amoni. Na kadhalika ndivyo alivyowafanyia wake zake wan chi za kigeni, waliofukiza uvumba, wakawatolea miungu yao dhabihu.Basi BWANA akamghadhibikia  sulemani kwa sababu moyo wake umemgeuka, naye amemwachqa BWANA, Mungu wa Israel, aliye mtokea mara mbili. 

Kama mfalme sulemani, alishindwa kuwageuza wanawake ambao alikatazwa asioe, tambua hata wewe kama kijana endapo utakubali kumuoa au kuolewa na mtu asiye okoka Mungu hukuacha.
2Kor 6:14-17, Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya haki na uasi ? Tena pana shirika gani kati ya haki giza? Tena panaulinganifu gani kati ya kisto na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kwa hiy,  Tokea kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.  
Bado msisitizi kutoka kwa mtume paul kwa wakorintho ni kutochangamana na watu wasio waaminio katika maswala ya ndoa na mambo yanayohusu kuabudu.

Waefeso 4:1-6, Kwa hiyo nawasihi, mimi niliye mfungwa katika Bwana, mwenende kama inavyoustahili wito wenu mlioitiwa; kwa unyenyekevu wote na upole, kwa uvumilivu, mkichukuliana katika upendo; na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho mmoja, kama na mlivyoitwa katika tumaini moja la wito wenu. Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja. Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote , aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote.

Ndugu yangu kijana eneo hili kwa upande mwingine huwa ni gumu sana tena kama upo kwenye mahusiano na mtu asiye okoka, ila nikutie moyo upo uwezekano wa kujitoa katika kifungo hicho ambacho mwisho wa siku kitakuwa ni kikubwa Zaidi, kadri somo litakavyo kuwa linaendelea jitahidi sana kufuatilia mfululizo huu, naamini utapata maarifa mapya ambayo hukuwa nayo.

Counselor Nicholaus Simon & Mch Gregoly David.
Viungo katika mwili wa kristo.
Kwa msaada na ushauri.
piga: 0766 – 635382 / 0654 623 492.
whatsap namba: 0654-623492.
pataufahamu@gmail.com
Ubarikiwe sana na nakuomba nisaidie kushare kwa marafiki zako ili na wao wajifunze Neno la MUNGU. 




Counselor Nicholaus


The Bible makes clear watching pornography is sinful. First, the very word pornography comes from a Greek word porneia, which is translated sexual immorality in our English Bibles. Believers are commanded repeatedly in the New Testament to flee from all kinds of sexual immorality and impurity. Consider these uses of the word porneia in the New Testament:
Gal. 5:19   Now the deeds of the flesh are evident, which are: immorality, impurity, sensuality,

Eph. 5:3  But immorality or any impurity or greed must not even be named among you, as is proper among saints;

1Th. 4:3  For this is the will of God, your sanctification; that is, that you abstain from sexual immorality;

1Cor. 6:13  Food is for the stomach and the stomach is for food, but God will do away with both of them. Yet the body is not for immorality, but for the Lord, and the Lord is for the body.
 
We could go on with more examples, but as you can see the Bible makes clear that the believer is to abstain from any and all forms of sexual immorality, from which we get the word pornography.
More specifically, watching pornography involves at least three forms of sin:
1. Licentiousness - The sexual acts on display in pornographic material are acts of fornication, which is the sin of sexual contact outside marriage. When we take part in this enterprise as an observer (i.e., as a customer of pornography), we are condoning and promoting fornication. This promoting behavior is itself the sin of licentiousness, or giving license to sin.
2Cor. 12:21  I am afraid that when I come again, my God may humiliate me before you, and I will grieve for many of those who previously sinned and have not repented of the impurity, sexual immorality, and licentiousness that they have practiced.
 
2. Covetousness - Pornographic materials are intended to illicit sexual arousal in our flesh, which is lust.  Lust is any arousal of the flesh which occurs in an immoral manner, and the whole purpose of filming other people engaging in sexual acts (often grossly distorted and perverted acts) is to entice lust in the hearts of the audience.
Lust is a sin, and anything that brings us to the point of lust is a sinfully corrupting and tempting influence. Jesus says that the commission of lust is equal to the commission of adultery. Consider the Bible's teaching:
Matt. 5:28 but I say to you that everyone who looks at a woman with lust for her has already committed adultery with her in his heart. 
James 1:14 But each one is tempted when he is carried away and enticed by his own lust.
James 1:15 Then when lust has conceived, it gives birth to sin; and when sin is accomplished, it brings forth death.
 
3. Sensuality - Watching pornography involves taking pleasure in observing strangers in a state of nakedness, which is the sin of sensuality or lewdness according to Scripture.
Glorying in another person's nakedness is sinful behavior, according to Scripture. Beginning in the Garden of Eden and continuing throughout the Bible, we find those who take pleasure in another's nakedness (outside of marriage) are depicted as shameful and due condemnation. For example, when one of Noah's sons took pleasure in seeing his father lying naked in his tent in Genesis 9, the Bible portrays the son's act as shameful and dishonoring.
More importantly, the Lord sees such conduct as reprehensible. Consider the Lord's admonishment against Israel when they engaged in lewd and immoral conduct:
Hab. 2:15  “Woe to you who make your neighbors drink,
Who mix in your venom even to make them drunk
So as to look on their nakedness!
Hab. 2:16 “You will be filled with disgrace rather than honor.
Now you yourself drink and expose your own nakedness.
The cup in the LORD’S right hand will come around to you,
And  utter disgrace will come upon your glory.

In summary, the act of watching pornography is immoral and sinful. It is wrong because it condones fornication and is licentiousness. It is intended to induce lust in the heart, and it exposes us to the nakedness of strangers.
For practical advice on ending an addition to pornography, please read Solutions to a Pornography Addiction.
or Site www.versebyverseministry.org

I am Counselor Nicholaus Simon.
A moang a part of the body of Christ.
For more guides and counseling
Whatsap number: 0654-623492.
Call: 255 766635 382
pataufahamu@gmail.com
God bless you much, please share for others friends.