Power of Prayer |
kama tunavyojua Maombi ni mawasiliano ya Mtu na Mungu.
kwanini wakristo waliookoka tunaomba kila siku kwa Mungu.
1. Tunaomba ili kuzipata ahadi ambazo Mungu katuahidia,
ZABURI 2:8
Maana bila Maombu huwezi ukapata kile Mungu kakuahidi hata kama unauhitaji nacho kiasi gani.
2. Ni ishara ya uhusiano wa karibu na baba yetu wa mbinguni.
YEREMIA
33:3
Maombi huwa yana anzisha uhusiano na hatimaye mtu kuingia katika
mahusiano kati yake na Mungu, uhusiano huja kwa kuingiliana na kuhusiana
kati ya Mungu, na mwanadamu.
YAKOBO 4:8-10
na kadri unavyomkaribia Mungu, ndivyo naye anapokukaribia na kufanya kitu kwako.
3. Pia tunaomba kwa sababu ni agizo la Mungu.
MATHAYO 7:7.
4. Ni wajibu wa kila aaminiye.
ISAYA
62:6-7.
Mtu hawezi akaimarishwa kiroho chake kama haombi, na ndo maana
utakuata wakristo wengi maisha yao ya kiroho yamedumaa na wakati
mwingine
wanajikuta wameanguka majaribuni,
ni kwa sababu hawajui wajibu wao wa kuomba Mungu awatie nguvu za kuendelea mbele.
Zipo sababu nyingi ila hizo pia zaweza kutusaidia.
KWA NAMNA GANI TUOMBE.
1. maombi ya unyenyekevu.
2nyakati 7:14.
2. Maombi ya toba.
Isaya 6:5.
NB:
PUSH MEANS, PRAY UNTIL SOMETHING HAPPEN.
Maombi yana nguvu ya kufanya vitu ambavyo vimeshindikana kwa hali ya kawaida, vikawezekana,
kukata tamaa hakusaidii ila kuomba kunasaidia sana maadamu umedhamiria.
Be blessed much by Leticia Donald
Post A Comment:
0 comments: